One – Moja, Two – Mbili, Three – Tatu, Four – Nne (In-Eh), Five – Tano
Six – Sita, Seven – Saba, Eight – Nane, Nine – Tisa, Ten – Kumi
Eleven – Kumi na moja, Twelve – Kumi na mbili
Twenty – Ishirini, Twenty four – Ishirini na nne
Thirty – Thelathini, Forty – Arobaini
Fifty – Hamsini, Fifty five – Hamsini na tano
Sixty – Sitini, Seventy – Sabini, Eighty – Themanini, Ninety – Tisini
Hundred – Mia
One hundred and thirty six – Mia moja na thelathini na sita
Nine hundred and ninety nine – Mia tisa na tisini na tisa
Thousand – Elfu
One thousand nine hundred and ninety seven – Elfu moja mia tisa na tisini na saba
Half – Nusu
Two and a half – Mbili na nusu (Mbili unusu)
Quarter – Robo